Sauti Sol feat. RedFourth Chorus - Kuliko Jana текст песни

Текст песни Kuliko Jana - Sauti Sol feat. RedFourth Chorus



Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Si nakuomba Mungu, uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu, ninawaombea
Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki
Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimsulubisha Yesu masiah bila kusita
Bwana ni mwokozi wangu,
Tena ni kiongozi wangu,
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi,
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana,
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo kuliko jana
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu, (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana, (Amen)
Baraka zake hazikwishi, (Amen)
Si kama binadamu habadiliki, (Amen)
Ananipenda, leo kuliko jana, (Amen)
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo mimi kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo mimi kuliko jana
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda, leo kuliko jana (Amen)



Авторы: rr


Sauti Sol feat. RedFourth Chorus - Kuliko Jana (feat. Redfourth Chorus) - Single
Альбом Kuliko Jana (feat. Redfourth Chorus) - Single
дата релиза
14-09-2016



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.