Текст песни Sofia - Sauti Sol
utanikumbuka
Sofia
mapenzi
yangu
ya
ajabu
giza
nene
lilitanda
moyob
wangu
uliponiacha
machozi
nayo
kanitiririka
niendeje
mama
utanikumbuka
Sofia
utanikumbuka,
utanikumbuka
navyocheka
navyotabasamu
(utanikumbuka)
mapenzi
yangu
baibe
(utanikumbuka)
giza
na
taa
(utanikumbuka)
dhiki
faraja
(utanikumbuka)
giza
nene
lilitanda
moyo
wangu
uliponiacha
machozi
nayo
kanitiririka
nafanyeje
mama
utanikumbuka
Sofia
utanikumbuka,
utanikumbuka
kwaheri,
kwaheri
Sofia
utanikumbuka
Sofia
![Sauti Sol - Sauti Sol - Sol Filosofia](https://pic.Lyrhub.com/img/v/z/e/h/HbzYfsHEZV.jpg)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.