Sketch The Artist - Untitled текст песни

Текст песни Untitled - Sketch The Artist



Yeah
Ha haaa
Sketchy pon dis
Nakuwanga direct huwa nacut kila scene
Siwezi kuwa GOAT ju nilishakuwa beast
Hizi forces of attraction ni ngumu kuresist
Usitry kuniplay unaweza cease to exist
Eye contact pekee ni enough for us to click, wacha mouse
Niliskia Kenya ukidai kuhit, saka clout
Na vile tunastruggle kubuild this from the ground
Mahali nitafika I don't need no one else to be proud but myself
Nikipewa chance, yeah I'd do it all again
Coz there's beauty in the struggle, ugliness in the success
And I need to stay humble so I can learn to be great
Sawa
Lazima niwajenge wisdom kiasi kama kawa
Na kama ni kujicompare, jicompare na wewe wa jana
Ju huwezi linganisha chai ya maziwa na kahawa
Coz you know mimi na wewe hatutawahi fanana
Naweza mea mabawa nikijump off a cliff
That just means I'm willing to take a risk
Hii maisha ukiogopa utabaki ukisink
That's why me natry building infinty links
So msishange nikiTake off
Nyinyi mbaki na hiyo shockwave ya impact nitamake
Ndio mujue I was able
I had in me all along, nawacha footprint nikistep
Na mi ni superhero ni vile sina cape
Costume ni miwani, bandana na maJs
Unaweza dhani uko right kumbe ni mi niko left
Nyota yangu inashine iko almost kureflect
Ka haunisaidii, utabaki past tense
Huwa sioverspeed, even in the fast lane
Kuna huyu mkisii fulani nitampea my last name
Na ukiona ako na mimi ni proof she has taste
Ndio nimemada hivi chuo juzi juzi
After miaka tano na missing marks za upuzi
Mse mlielect anaharibu uchumi
Na signs za end times nazicheki kama kumi
But najua hiyo ni convo ingine hamdai kusikia
So hata hiyo story sitatry kuingilia
Before ufanye kitu make sure umefikiria
At the end of the day usibaki ukilia
Nina mapero best hadi karibu wanispoil
But before niharibike lazima wajienjoy
Nibuyie massa keja na buda nimmbuyie toy
Akiishika akiiendesha anabaki akicheka
Siwezi kuwatorture lakini nitatesa
Kiburi tu kidogo na peng ting ameweza
Tukitoka ndani ya limo na bouncer amejenga
Utafikiri mara tatu ndio utry kutusongea
Ongea, (omera) na kama hauna story, potea
Naelewa hizi form haujazoea
Korea
Ndio penye utanipata nachochea
Na mamorio hapo kando waliamua kutokea
Na siwezi maturbate, coz I'm the master bae
Kitu naweza nyonga ni steering ya Benz
Nikipiga hiyo corner ya kuingia kwa baze
Hakuna haja tupingane, hiii haihitaji debate




Sketch The Artist - Fine, I'll Do It Myself
Альбом Fine, I'll Do It Myself
дата релиза
16-01-2024




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.