Skwatta Kamp - S'Yolala La текст песни

Текст песни S'Yolala La - Skwatta Kamp

Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh

Nasimama na mola kwa kila jambo lile nitendalo
Maneno ya watu bakora, yalinichapa nikaumia
Lakini machozi machozi nilolia zamani, yashafutika
Japo simanzi majonzi yalojaa moyoni, nikikumbuka
Nilishaambiwa zamani kinyago uchongacho hakikutishi ng'ooo
Ndio maana nasimama na aliepanga
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh
Ukitazama kwa macho yako, huwezi kumjua mwema
Mateso yako furaha yao, tena mengi watasema
Moyo wa mtu kichaka, mengi yalo fichika
Unaemdhania mwema, kumbe mchawi kwako
Nilishaambiwa zamani, kinyago uchongacho hakikutishi ng'oo
Ndio maana nasimama, na alilopanga
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh
Aliepanga ni manani, Shida na riziki zangu
Aliezitupa gizani, Shida na tabu zangu oooh

Skwatta Kamp - Washumkhukhu
Альбом Washumkhukhu

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.