Текст песни Money - Solidstar , Diamond Platnumz
Bwana niongezee miujiza
nami nizidi kimbiza
nizidi wakera wanaonchukia
kubeba bendera Tanzania
Mi ndo mwanga kwenye kiza
(zah)
Nizidi kuwaliza
(zah)
Chunga rafiki familia
Na mashabiki wanaonzimia
Ooh! kisha niende nyumbani
kwa mama
kipenzi changu cha ngama
na majirani wa dhama
niweke ndani na wana
niende nyumbani
kwa mama
kipenzi changu cha ngama
na majirani wa dhama
niweke ndani
Oooh rafiki zangu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.