THEONLYDELO - Cheza текст песни

Текст песни Cheza - THEONLYDELO



Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Yule kijana mmoja gaidi
Sana sana tena zaidi
Ninakazana kisha mi tina
Nikifika bei naskia fiti
Naipiga kwenye bed kisha juu ya kiti
Shh ndani ya kitu shh ya titi
Change position kaa unapiga dekii
Na ukule hiyo haga ka unakula keki
Na ukuwe rada jo juu unaweza bleki
Kiki kiki do you love
Apana tambua hizo jo mi si mlami
Hotter than the sun fika jo miami
Ubaya na majuu huwezi pata jo majani
Kunitoa base ni kunipa mtihani
Twende mtaa beb nikupe mti yaani
Nakushika koo unaweza dhani mi sijali
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Cheki wanatii wanajua mi ni Odinari
Dem yako yatinaa aking'oa ni vibare
Odi odi kawangware vijana sugu namba nane
Wakisha kitu kg leta nare
Na madem wainame injection Ya sare
Funga bao kama nane na wapige nduru
Nimewageuza manugu
Na tukimunju Wanageuka mabubu anapiga magoti
Unaweza dhani wanaabudu
Anadai nimwage ndani
Njugu njugu ni kijana wa kambi fulani
Jamuhuri si wa leo si wa jana
Wala jo si wa juzi onlyonedelo
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Songa na idhaa busaa j na mkalla
Wakuu family hao sasa ndio wakanda
Shuka na madam mjulubeng' ukiwa
Zimenishika zimenishika manze jo nina dawa
Si ati ju nina bars unibebe mimi mlevi
Mi rada na mashash macho nyanya kuliko pedi
Napendaga ile safi nikipiga nina medi
Na story za wasafi tulirudisha tz
Before this fame nimesumbuliwa na ma mbang'a
Na kama si fame story ingekuwa ya madaga
I find this lane kuhudumiwa na waganga
Machungu so lime bora jah ananipendaga
Shout out to my mama ujue milele ntakupenda
Shout out to the months zile zote umenibeba
Shout out to the ladies wale wote nimekemba
Shout out to my wife she is the last body bender
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada
Cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho
Coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
Nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada



Авторы: Theonlydelo


THEONLYDELO - Cheza
Альбом Cheza
дата релиза
07-01-2020

1 Cheza




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.