Timmy Tdat - Kitambo текст песни

Текст песни Kitambo - Timmy Tdat



Ati hakuenda campo but kila weekend utampata hapo kila weekend
Ron Tdat
Nilikuwa na shida kwa streets(si kitambo)
Sina hata kitu ya kueat (si kitambo)
Nilikuwa nadandia mathree(si kitambo) keja single tunashare watu three
Ooooh
Mwaka uno si kitambo
Ooooooh (ni kasabun)
Na sai si kitambo (musyoka)
Na tunafanya mambo
Ooooh
Hey ninaraise bar, hata wawezi lewa
Ni December mpaka Jan, Mi ndo naongelewa
Ni Kampala mpaka Dar, Mi ndo naongojewa
Si Jah Jah alishasema, Omba na utapewa (eh)
Wafuasi wananifollow me (eh)
Piga picha post tu tag on me (eh)
Pewa maji alafu bill on me
Tuna makingi ma money moves, Cardi B! (eh!)
Hawakujua nitakuwa mtu bado!
Hawakujua nitapendwa na ma girlu!
Hawakujua nitakill bila gun!
Kumbe kuna ingine hapa chini ya mbavu!
Nilikuwa na shida kwa streets (si kitambo)
Sina hata kitu ya kueat (si kitambo)
Nilikuwa nadandia mathree (si kitambo)
Keja single tunashare watu three (si kitambo)
Oooh
Mwaka uno si kitambo
Oooh
Na sai si kitambo
Oooh
Na tunafanya mambo
Garbage ndio ilikuwa job nilido(ndio job nilido)
Sina hata fare natembea kwa miguu (natembea kwa miguu)
Nilifanya job kwa stage ya matatu
Nikipanda stage wamathii wananiboo
Ju garbage hiyo job nilikuwa ninado(eh eh ah ah)
Kumbe wakihate manze joh napenetrate
Jah Jah ananiwatch man ni ka ako kwa gate
Mi nakuanga sure buda sikuangi kwa bet
Cheki kashanipea na hata hatujadate
Nilikuwa na shida kwa streets(si kitambo)
Sina hata kitu ya kueat (si kitambo)
Nilikuwa nadandia mathree (si kitambo)
Keja single tunashare watu three (si kitambo)
Oooh
Mwaka uno si kitambo
Oooh
Na sai si kitambo
Oooh
Na tunafanya mambo
Nyasaye ogwetha
Nyasaye ogwetha
Nyasaye ogwetha
Nyasaye ema gwetha
Vitu sasa ni better
Success ni dem nadate aah
Ju mimi na ni go getter
Ai time mbaya check later
Nilikuwa na shida kwa streets (si kitambo)
Sina hata kitu ya kueat (si kitambo)
Nilikuwa nadandia mathree (si kitambo)
Keja single tunashare watu three (si kitambo)
Oooh
Mwaka uno si kitambo
Oooh
Na sai si kitambo
Oooh
Na tunafanya mambo si kitambo
Mmmh aah
Ati hakuenda campo but kila weekend utampata hapo
Haha aha
They know kasabuni to the world



Авторы: Timmy Tdat


Timmy Tdat - Kitambo
Альбом Kitambo
дата релиза
28-03-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.