Trio Mio - Mechi текст песни

Текст песни Mechi - Trio Mio



Very nice
(Oweeeee)
Aaaanhuh!
(Oweeeee)
Trio Mio
(Oweeeee)
Mkurugenzi
(Ooh oooh)
(Iyo track ni ya Leo)
Tuko mechi
Man of the match Leo Messi
Shot ni finesse weka placing
Madude zinafungwa 'araka upesi
Ndani bila kesi
Aaaaa mechi (mechi)
Songa na isaaa, mechi (mechi)
Vile tu inafaaa, friendly (mechi)
Songa na isaaa tuko mechi
Leo tuko mechi
Niko na mechi kuna kombora ina kutu
Nmeshinda bench leo lazima ntupe mguu juu
Nikiitia ndani grao itabaki ni nduru
Na stingo flani ndo maana wananiita guru
Goal ya kwanza ibada lazma shati inatoka
Acha nkule yellow hii ni dimba inagongwa
Mpenzi mtazamaji hapa stima na water
Huu kijana machachari ako na experience ya kocha
(Walai naipenda)
Unashinda ukijiuliza mahali next ntaiweka
Ai bazenga, half time refa
Nduki zinatumwa left right and center
I surrender
Nipe nikupe hii ni derby, usikonde
Wee ruka juu nkiseti kona ndio nkuone
Utamu ya ligi ni kushindania kikombe
Tempo inapandishwa pole pole
Unashtukia
Tuko mechi
Man of the match Leo Messi
Shot ni finesse weka placing
Madude zinafungwa 'araka upesi
Ndani bila kesi
Aaaaa mechi (mechi)
Songa na isaaa, mechi (mechi)
Vile tu inafaaa, friendly (mechi)
Songa na isaaa tuko mechi
Leo tuko mechi
Hapa kipa akipanua anakula chobo (ka De Gea)
Vile napura hata ukikaza kanaponyox
Najitakia ndani ya box mtu solo
Napenetrate hiyo defense kama Ngolo
Kuna venye 90 minutes ni kidogo
Extra time n'ya kuwafikisha kikomo
Capitan nakupigisha kisomo
Mechi ukibembea unabebwa ndogo
Stadi ni kimwaki tunasakata kadimba
Penya kati kati namba saba wa la liga
Unaonyesha kipaji vile unacheza na mipira
Unaguzishwa handi kuna pena zinapigwa
Nipe nikupe hii ni derby, usikonde
Wee ruka juu'nkseti kona ndo'nkuone
Utamu ya ligi ni kushindania kikombe
Tempo inapandishwa pole pole
Unashtukia
Tuko mechi
Man of the match Leo Messi
Shot ni finesse weka placing
Madude zinafungwa 'araka upesi
Ndani bila kesi
Aaaaa mechi (mechi)
Songa na isaaa, mechi (mechi)
Vile tu inafaaa, friendly (mechi)
Songa na isaaa tuko mechi
Leo tuko mechi
Oweeeee
Oweeeee
Oweeeee
Ooh oooh
Oweeeee (aah mechi, mechi)
Oweeeee (aah mechi, mechi)
Oweeeee (aah mechi, mechi)
Ooh oooh (aah mechi, mechi)




Trio Mio - Mechi
Альбом Mechi
дата релиза
23-09-2023

1 Mechi



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.