Trio Mio feat. Bien - Ndani текст песни

Текст песни Ndani - Trio Mio



Aanhuh!
Trio Mio
(Ayo track ni ya Leo)
Ah, mkuruweng na ingine juu ya system
Tuko ndani utadhani tuko deep state
Mawithin nko maskani na ka mistress
Na hatutoki tuko ndani ka
Tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Tuko ndani
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Utaskia fiti
Ndani kabisa
Ndani ka
Very nice
Ndani ka?
Leo utaitana
Tunacheza ndani huku mechi imeivana
Ndani kama OceanGate, vile kunazamwa
Naenda deep sea diving bila floater, nina njama
Ndani kama swallow
Mbegu ya avacado
Kismat ya asubuhi unaangukia ndani ya thermos
Ndani ka sim card
Ka nduki ya Saka
Ndani ka mashimo juu ya cheeks za Sakaja
Tunalala ndani
Mi na mpoa flani rada safi
Mzing hatutoki tuko ndani
Vibes and Inshallah ni masticks na majani (na majani)
Leo mteja hapatikani
Tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Tuko ndani
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Aah yeah yeah yeah
Hatutoki ni kaveve na ombitho
Tuko ndani kama dredi za mkorino
Ni kapoa, ni katam kama pringles
Nikitoa kanajam juu ya fimbo
Na ni tamu kama wali wa mnazi
Songa na matime wacha kupoteza wakati
Mechi ndo inaanza weka ball katikati
Nyundo leo lazima ishikane na kabati
Tunalala ndani
Mi na mpoa flani rada safi
Mzing hatutoki tuko ndani
Vibes and Inshallah ni masticks na majani (na majani)
Leo mteja hapatikani
Tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Tuko ndani
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Mkuruweng na ingine juu ya system (mkuruweng)
Tuko ndani utadhani tuko deep state (tuko in)
Mawithin nko maskani na ka mistress
Na hatutoki tuko ndani ka
Tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Tuko ndani
(In the inside)
(In the inside ooh)
Walai tuko ndani ka
(In the inside)
(In the inside ooh)
Oooh ooooh ohhh (inde inde inde)
Oooh ooooh ohhh (inde inde inde)
Oooh ooooh ohhh (inde inde inde)
Oooh ooooh ohhh (inde inde inde)




Trio Mio feat. Bien - Ndani
Альбом Ndani
дата релиза
26-01-2024

1 Ndani




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.