Trio Mio - Translate to English (Freestyle) текст песни

Текст песни Translate to English (Freestyle) - Trio Mio




Niko na pembe
Nkona majembe
Uh
Translate to English, niko na pembe
Uko na shamba? nkona stamina na jembe
Kiforeigner na kivelo tuko lembe
Umeshinda umelilia, mtoto leo anapewa wembe
Ikibamba sana wapi nduru
Ikizama, usikaze rasa ndani fulu, apo sasa
After round ya kwanza unaona mbulu nikiset
Na ukiona imelala sana inakimunju nireset
Mpoa wa kwako vle ana cargo alipewa kinanda
Intellectual na matako inakwanga disaster
Tuko tipsy moshi jamo na appetite ya guzzler
Zikishika gal a bubble anatingisha tanker
Adi jegi zina-jiggily jiggily (blunder)
Seremala izi madigida upigishwa randa
Kakimwaga kauji tingisha tishinga sana
Niko rada miukapigisha mpaka inaganda
Inakuja
Inamuok naiskiziadi kwa makucha
Speed ya kobe mdagi mdagi ndo ni muta
Stingo za ukoloni nikizama unaona future
Tunavuta ngwelo heri labda uvute subra
Namumunya velo daily lazma nkule kubra
Zangu ni mastingo deadly kshinda kamasutra
Mguu moja inakunjwa na ingine inaekwa kwa ukuta
Apo vipi, iko sawa?
Hizi strokes zinaeza kupea mabawa
Mundu strong na energy ya paka power
Njwang'a size ya Times nimebebesha kitower
Unapewa stima-unabaki umetoa kishower
Mtoto mali fisa namkunywa kihappy hour
Mwaga nasafisha nailaku ni kama dawa
Trio kakibisha wanajipa inakwanga kawa
Translate to English (niko na pembe)
Translate to English
Translate to English (nkona majembe)
Translate to English
Translate to English (napenda paka)
Translate to English
Translate to English (nawaka waka)
Translate to English
Very nice!



Авторы: Tj Mario Cassella



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.