Trio Mio - Cheza Kama Wewe текст песни

Текст песни Cheza Kama Wewe - Trio Mio



Aha,Trio,Trouble
Buda form!!!
Manze si utuitie sherehe
Leo tupige kelele Raha unajipa mwenyewe
Si unichome uko na ndom
Tukiwashe tupepeee
Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe
Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe
Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe
Trio nacheza kimimi mdhamini sipini
Nakaunadai moshi utazivuta kote chimney
Limit ya Fuliza imeongezeka niko machingli
Naeza shika jug na kanuthu niskie tifi
Nacheza kiroro, nachezaki wing man
Naezafika soko nishikeki Gbag
Turirime mragi meditation naki FiFa
Shuksha kibandaskii chapo ndondo inaezajipa
Rada na madenge vuta hizo matenje Usichomange kamenje
Huskii niko mawenge
Unaeza nyonga sana, mkono ianze kumea skwembe
Manze kakiivana sinapigana tu vijembe
Peleka na mtrrrr Peleka na mtaratara
Usiletee hapa machrrr
Manguna vitu chwarachwara
Mihuteka maprrrr
Mangoko huwanga maprincess Magyala ni wapeng
Hapa kupost wako pintrest
Form!!!
Manze si utuitie sherehe Leo tupige kelele
Raha unajipa mwenyewe
Si unichome uko nandom
Tukiwashe tupepeee Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe
Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe
Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe




Trio Mio - Cheza Kama Wewe - Single
Альбом Cheza Kama Wewe - Single
дата релиза
22-11-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.