Текст песни Chozi - Tunda Man
Chozi
Lyrics.
Wanawake
mna
mioyo
Tena
ya
uvumilivu
Mwanamke
akipenda
Anabeba
makali
maumivu
Hata
kama
ukimtenda
Mwenzako
moyo
wake
unavumilia
Anaweza
kakuchekea
Kumbe
moyoni
anaumia
Penzi
ni
kama
siti
la
basi
Ukitoka
wenzako
wanajinafasi
Usiombe
mwanamke
aseme
basi
Kamwe
hawezi
kukuridia
Mwanamke
akipenda
Anapenda
kiukweli
na
haigizi
Anaridhika
na
mmoja
alonae
Hana
tabia
za
wizi
wizi
We
la
mwanamke
chozi
(Chozi)
Ah
lichunge
lisidondoke
(Chozi)
Ah
lidhamini
chozi
(Chozi)
Ah
lichunge
lisidondoke
(Chozi)
Mwanaume
rijali
anajishusha
Hata
kama
kosa
sio
lake
Mwanaume
hafai
kukurupuka
Kosa
kuwapiga
wanawake
Ah
Uchebe,
mwanaume
kujiamini
Kuwa
na
pisi
moja
ya
kuaminia
Usiwe
kama
Almasi
Anawazalisha
anawakimbia
Bora
uwe
ma
J
Kamvisha
pete
hamuoi
haongei
Lulu
kama
kelele
husogei
Dakika
tisini
mechi
kali
hukosei
putululu
Mwanamke
akikuvulia
na
akikununia
We
hela
inatosha
Ogopa
sana
akikununia
Na
akikwambia
we
inatosha
We
la
mwanamke
chozi
(Chozi)
Ah
lichunge
lisidondoke
(Chozi)
Ah
lidhamini
chozi
(Chozi)
Ah
lichunge
lisidondoke
(Chozi)
Akikasirika
we
mbembeleze,
yeiye
mbembeleze
Akikasirika
we
mnyengeze,
we
mnyegeze
Eeeh
we
mbembeleze,
ayaa
we
mdekeze
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.