Unspoken Salaton - 23 Pages (Freestyle) текст песни

Текст песни 23 Pages (Freestyle) - Unspoken Salaton



Nimechunga ngombe unaeza imagine saii nasaka visa
Nimetoka far though nikikusho utasema nimeanza sifa
Ka kanisa niko na verse,bars bei ya Monalisa
Tesa kabisa ma alsema ka hunipendi riswa
Miaka imepita na kwa speaker ni ka nimeanza kuskika
Ni miezi sita bei napiga ni ya kuongeza sneaker
Denge alihepa nikamwelewa nilishindwa kukasirika
Denge alihepa nikamwelewa hakuwa msee wa teamwork
I'm making hay naweka stock ni leave a mark
Vitu nimecheki nikiwanga young sikudeserve
Fathee alisepa nikikumbuka hunidestruct
Mathee akonami ye hunisho me hukuwa star
Compe hainipati part of me ni pure greatness
Nishapoteza mengi kitu haijanitoka ni patience
Usibishane let my mind take you places
Escape your demons but mine i gotta face them
Address the nation kila time nafeel some type of way
Ngumu ku stop,ngumu unipate me on a holiday
Life yangu story 23 fucking pages
Hata ndula kali unaeza tegwa na hizo laces
Mahali nimefika bro si luck labda lessons
Ongeza kamnyweso nitetemeshe session
Mahali nimefika bro si luck labda lessons ongeza kamwnyweso ni
Na hizi price tangu nipandishe sinanga friends
After kuniona kwa mbulu they want to make amends
Life is perspective napicture na a distorted lens
Chokora mavi ya choo zinuke leo,set the trend



Авторы: Brian Salaton Lemaindo


Unspoken Salaton - 23 Pages (Freestyle)
Альбом 23 Pages (Freestyle)
дата релиза
30-11-2022




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.