Текст песни Inachuna (feat. Juacali, Bussa J, Seska, City Boy, Psycho, VUVA, Dulla, Obinna & Anto Neosoul) - VDJ Jones
VDj
Jones,
Si
unajua
ni
genje
ni
mbwaya
Mavo
on
the
Beat...
Ati,
ni
hatari
Vile
anazitoka
odinary
Ni
hatari
Mi
najua
hatari
ati
Ah
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
Ati,
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
ati
Ukiskia
Juacali,
we
jua
kunachuna
Ukiskia
beat
ya
Mavo
jua
inachuna
Bado
meno
iko
vunja
mfupa
Bado
tembo
ziko
vunja
chupa
Haribu
mtu
wangu
we
mezesha
Usiku
changa
we
serereka
Shisha
iko
changanya
ketepa
Round
ya
pili
inakuja
we
pewa
Kunja
mtu
gizani
kisawasawa
Mkumbushe
hii
chuma
ni
ya
pawa
Na
kwa
wale
wanasumbua
kwa
sana
Lazima
wajue
hii
kutu
inachuna
Ah
inachuma,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
twende
sana
inachuna
Ati,
inachuma,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
twende
sana
inachuna
ati
Inachuna
jaba
natafuna
Inachuna
naskia
kujikuna
Inachuna,
inagonga
Nawaroga
nikibonga
Peng
ting
nakatia
Peng
ting
napitia
Zimeshika
mi
nadai
tu
mabeer
Zikishika
chora
saba
nadandia
Huku
ukitembea
na
nare
ni
ka
kipande
Afande
sina
kipande
niko
na
Omo
Mgenjiko
toa
kwa
zabe
ni
ka
ni
somo
Mkwela
kama
ni
kware
sindai
ngono
Mbasu
wa
heavy
ju
ndani
walevi
Mapeddy
mathegi
na
bado
mavedi
Namedi
na
hedi
na
kando
makeki
Nakata
makeki
ni
ka
ni
bash
tei
la
Ah
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
Ati,
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
ati
Inachuna
Nilipanda
veve
shash
ndo
nilivuna
Still
na
kakiwashwa
na
kikikuna
Na
kako
chonjo
konjo
Conjestina
Yeah
yeah
yeah
yeah
noma
sana
Umejaza
uzigo,
so
rewind
mitindo
Fisi
kwa
miwindo,
nyapia
mipindo
Ila
City
naikuna,
sio
kizalendo
Na
kakuta
nakabless,
ila
si
kufyeko
Romance
nakapigia
nyambizizi
Mapenzi
juu
nimetokea
uswazizi
Sweet
kama
kameshikiaga
eazy
Nakapekenya
kanacheka
kwikwikwi
Ah
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
Ati,
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
ati
Mi
hukata
kuchapa
ni
kama
randa
Ukinipa
ni
rubber
na
kukumanga
Daily
mangata
mafans
venye
nawamada
Ni
kama
airtime
venye
mimi
nawabamba
Nakupa
shot
sita
bora
we
uchore
saba
Kwa
kiti,
kwa
meza
hadi
kwa
kitanda
Mi
si
worker
but
nitakulima
kama
shamba
Kama
Passa
passa
Iano
nicheze
na
hiyo
diaba
Inachuna,
ni
Vuva
Vuva
Niko
bumper
ukikwama
nasukuma
Mi
najituma
hakuna
dumba
Nitakula
kubwa
mi
ka
Olunga
Mbogi
mbaya
tukipull-up
mnatii
Si
kwa
charts
si
ndo
1,
2,
3
Tunawapiga
piga
buti
kama
Booker
T
Si
ndo
huchafua
vida
hadi
mp3
Ah
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
Ati,
inachuna,
kutu
kwenye
chuma
inachuna
Inachuna,
tena
sana
inachuna
ati
Mihadare
jo
ako
jaba
Niko
giso
niko
murambe
Lazima
itubambe
we
wa
shada
ama
ngale
Pass
hiyo
pass
sisi
mapapa
si
mafathe
Gwas
ni
ya
warasta
na
rizna
jo
ni
za
warasta
Mambota
piga
snapchat,
tin
piga
pass
Chota
mzinga
bila
glass
Tutazima
tu
kwa
class
Kwenye
suti
ni
matrust
Kwenye
pori
ni
ki
Trust
Nikibleki
niraukie
hosi
Jo
nisuke
nurse
VDJ
Jones
bila
pause
Kila
mtu
on
toes
Si
unajua
ni
genje
Genje
ni
mbaya
Kwa
ground
vitu
ni
fire
Itabaki
unagwayaa
Hahahaha
the
Superstar
DJ
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.