Victoria Kimani - Gota текст песни

Текст песни Gota - Victoria Kimani



heee ululuuu heee
ujue natoka mbali victoria kimani nani
wanajua mi ni nani heyy ni nani
si hanyi mabuda mimi si Hudah
si dem amejikuta si tabu ya dumba dumba
mungu mi nakushukuru nakushuru ni maombi yake mama mzazi umeyajibu
oh hio ju sitaki ngori
oh oh hio
kwa hivyo musi worry
oh ho hio
basi nipe uzito gota 2
niyaa ehh
ahh victoria nakama kamata ehh
nakomete mete nete
kirirki riki rirkikiki
you to victoria kimani breakdance another afrika
camon simama mbele ma
ha mama heyy mama ohhh mama
rikikiki
cheki vile nimengara swaga yangu matata
hutaki usiku pata
utakipata pata nawale wamesha seti
namimi ju siwaweki siwaweki ii
siwawek siwawek siwak chakuliwa rikikiki
oh io ju sitaki ngori
oh io kwa hivyo musi worry
oh io basi nipe uzito gota. bridge




Victoria Kimani - Safari
Альбом Safari
дата релиза
05-12-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.