Wakadinali - Joho текст песни

Текст песни Joho - Wakadinali

First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
(Hitman Khat)
First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko
Msichana anajifanya peng-ting na tunajua ni chura omoroto

Bad man kila sector
Hatunaga ethics labda Seska
Macho nyanya sura gangster
Na msupa wako hukutuma ugotee Scar
Hahha, haina pressure, biz ya ku-keep it real haina pesa
Rende Mungiki mi ni Maina Njenga
Kweli mlirauka but mi nilikesha
So jo nyamazisha
Na ukibonga unapigwa bakora kwa kichwa
Na unachoranga giza na huyo shore ni ong'oro
Ukiroroa ati bora amejipa
Unachomanga picha
Mi nikichoma nachomanga mbichwa
Umechwara umecharara na unachangamkanga na ma-guarana
Ushakuwa ka ndranya utaporwa ukipita
No faces no IDs
No faces on IG
Many fucking rappers no ideas
Hatuwataki hapa we don't hide shit
Hio mbogi ni rumor, mnapendaga ulimi
And I swear Eastlando hatubebangi chuma tunabebanga upini
Ndo mtajua hampimwi
Still underground rong toke before
Na usipime mathao so fuck a free show
Wakijisunda makobro nitakuwa Riko jo
Watakuja nisahau nitakuwa jikoni
Back in the wood bro nitakuwa jikoni
Rende ni rong bro nitakuwa reforming
Pesa ni mob lakini sioni
Pressure ya roho inabidi sioi
First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko
Msichana anajifanya peng-ting na tunajua ni chura omoroto
First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko
Msichana anajifanya peng-ting na tunajua ni chura omoroto
We don't care
Nikinyanya ni mangolo
Niko mansolo na niko under so clock
Plus napolo na kolo
Mtoto jo anasumbua tuzame Dar mpaka Moro
Hatu-worry tomorrow
We got the whole day
Bado si huzoza giza totoro
Smoke loud yaani live on air
Kushinda hata man Gidi na Ghost
Pia Sportpesa tuko inadi vibaya
Especially ka pori imelock
Clean bandits on the road
Last seen ndani ya ndae imesukwa ina ma-chrome
Fulani long-lasting kama Wanjigi
Zile ndula za ma-ops
Si parkingi na ma fakes hizo siasa siko niko simple
Previous client huyo mshenzi ako ovyo
Mbleina yu rukanga ceiling to floor
Nili-cock back the hammer but safety iko off
Tulicrush mfupa bila meno
Kabla hatujameanga ma canines
Now I'm the super striker hii maneno
Unaeza niitanga Shakes Makena
Hausikii si ndo hupeddle ma G-bag mjini
Na siku hizi bei ni LA
Plus hizo stori za ma-informer siskizi
Mchizi try CNN
Broad daylight pickpocket
Pigwa nyongolo man hatuna whole day
Naskia si ni ajab kana kwamba
Hakuna haja ya ku-creep kukupata
First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko
Msichana anajifanya peng-ting na tunajua ni chura omoroto
First class SGR nadondoka chopper na Joho
Burna Boy kikolo nilisukumiwa M-PESA na Jomo
Msoro alifanywa arosto tulimnyuria na hio fe ni mbonoko
Msichana anajifanya peng-ting na tunajua ni chura omoroto

Авторы: Churchill Oganga Mandela, David John Munga

Wakadinali - Joho - Single
Альбом Joho - Single
дата релиза
01-07-2020

1 Joho

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.