Wakadinali feat. Sewersydaa & Scar Mkadinali - Umoroto текст песни

Текст песни Umoroto - Wakadinali feat. Sewersydaa & Scar Mkadinali



Kama we ni mchizi magames na player, I'm so N.Y nakaa E.A
Mjuniour am breeding hukaa L.A, Maasai na amedunga ma-Meerell
Na kutoka S.A aliniuzianga makaa L.A
Don't bother hii ni Wakadinali, niite Don Munga Wuzu mi ni nani?
Karao nilimtukana na ni ka-Turkana, nilimbongesha kilami
Munga nawakana mwizi alitagwa, Buru ndani Burudani
Mtoto msichana Hannah Montana, gwanja na miraa
Niliacha kuzifanya hizo madawa, ma jaba na miraa
Choma boza Munga ma mchicha, ati wako nichi wachawi wanajificha
Nimetoka Umoroto kuwajibika, hata kukinyesha mi hubuy-ia mjuniour ma criba
Balaa baba! Umeshiba?
Na ujue mi silei Osama usiwai enda kuiba
Sanse walikuja na Mazda idhaa flani nikikunywa chwada
Za ovyo tu kunihadaa, ati ju ya handas utalala Mada
Saa hizo niko madawa maduya, mtadu what?
Vitu wanadu tuna-boo wanabuya, wanagwaya
Still am living my dream
Nataka Benzo na Bimmer
What you talking nanii?
Naeza kubuy-ia kwa bar na unazima
Kama sikuchoti mamii
Risto za free-ride hakuna
Nani? Ni nani? (Huh), Ni Wakadinali ririma
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Alitaka niingiwe marungu wapi juu informer aliua nyungu
Tulimchunguch, nugu tulimuonea 18 kiu Mungu Mungu
Mkate ikatwe nusu nusu biz legit tukiwa mi na Wuzu
Na ni kuuliza tu, BBI Corona inatuhusu?
Hatu-pose hata ka ni kwa picha, na hatu-doze masaa si hupitisha
On toes jo hamwezi tupita, na mmekimia hamwezi lilisha
Slaves design ya Lupita, 12 years Inda ju ya kuiva
Baze usikam ka umepiga, unaeza rudi jakdes bila
Sija-munch tangu late March, siwezi fight-ia system corrupt
Na usi-fuss ka huwezi spar, nchi zingine pia wao ni mraa
Nyako ulimtoa kwa baa, mali fisa nilianua reserve
Na, of course, tuko na gun, haimaanishi uingie round ku-snatch
Kuna time nilikuwa kwa crowd na kuna time niligeuzwa Stephen
RIP my partner in crime, alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi
Sai niko exile pon di way, on the road to mtini
RIP my partner in crime, alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi
Still am living my dream
Nataka Benzo na Bimmer
What you talking nanii?
Naeza kubuy-ia kwa bar na unazima
Kama sikuchoti mamii
Risto za free-ride hakuna
Nani? Ni nani? (Huh), Ni Wakadinali ririma
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
For real for real
Yoh, nimetoka keja tena (uh)
Back in the streets ducking police nitakuwa mteja tena
Chini matick Patek Philippe sijui ningeongezea mbwenya
Huyo mtoto hu-scream ye hupenda hii stick but ye huwanga shy kusema
Bitch umerudi cyber tena mi Dosh na si wa side za Tena
Ah bro bro



Авторы: David Munga Ramadhan


Wakadinali feat. Sewersydaa & Scar Mkadinali - EXPOSED (Munga`s Revenge)
Альбом EXPOSED (Munga`s Revenge)
дата релиза
21-10-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.