Wakadinali feat. Khaligraph Jones & Abbas - High Noon текст песни

Текст песни High Noon - Wakadinali , Abbas



Nimelay lowkey, niliangusha padlock Sai natoa lock na mikono za
Hancock Waliagiza tot wakapewa ma-hate shark 1, 2,
3 Niko fresh bila prince,
Uncle hanifeel Aunt Vivian na Hillary si wako na base Ata kama
Sijawajazz bado nachill Mi sio Jeffrey na bado na deliver at will
Ashely hii ni rap for real Khaligraph,
Wakadinali na Abbas Scooby Yeah naamka mapema lately Siwezi mwaga
Unga ju mkate ni basic Manna toka heaven ladha yake ni tasty Son
Blessed nilikuwa tangu the '80s Naweza sound horny nikisema self
Raising Usimind, grind yangu huwa amazing To be or not to
Be, I have to be Do biz or not do biz, Abass Kubaff Kong Kong
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata
Mitaa za mbali sio piga scene tupu Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration Testing what?
My crew Nilibuy ngware kindukulu '
Shh shh Ndo nikuwe na high noon
KHALGHAPH)
Nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi Wacha
Tudistinguish nani rapper, nani pussy Nani shark, yaani papa,
Nani sushi Ju maboy nili-inspire,
Ndio mpaka sasa wananitusi But come to think of it,
Ndio rap iko Kudisagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho As long
As unaweza roga, mistari zimetosha mboga Na rhymes gimical in order
Na uko tactical Then it display easy,
Whether last ama kwanza Haswa hii mbogi yangu ni ya waras na wajanja
We ni snitch, unadhani mbona si hukushuku Kutuseti ndio zako juu ya
Marupurupu Leave you in a coma,
Hapana alama ya dukuduku Natukuteke kila kitu ubaki utupu tupu Siwezi
Mwaga unga na nakula mboga usiku Na ka si ndenga,
Pia siwezi kosa kisu Mambleina wanazua,
Hawawezi kosa issue Industry ina mapirate, utadhani Mogadishu
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata
Mitaa za mbali sio piga scene tupu Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration Testing what?
My crew Nilibuy ngware kindukulu '
Shh shh Ndo nikuwe na high noon
SCAR MKADINALI)
Eey si uongo bang bang na utagenya jiji Si watoto wadogo gang gang ni
Kusema nini Mmm ha, naona kama nyinyi mnaplay na mimi Lakini swali ni
Moja tu, tutapenya lini So my brodas,
Enjoy your days Ju tushajua vile itaisha either in jail or dead The
Radio don't play me so I play my way Anyway my father told me no pain
No gain Ju bado tuko underground na sichoki Sidhani hii ni music,
Man ukinicheki na kipochi sisoti sikosi Azyn mlini mis-judge ju
Mlinicheki na kitaxin na kichoki Yoh,
So if I die Usisahau kuwambia that I lived my life Yoh
Scar aka Mr Rizz Magwai Mi hujuanga nawaumiza mbaya eeh
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata
Mitaa za mbali sio piga scene tupu Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration Testing what?
My crew Nilibuy ngware kindukulu '
Shh shh Ndo nikuwe na high noon
DOMANI MKADINALI)
Mara better ni ka dera Mara juzi niliona hadi Vera Mara zimenirunda
Kibera Mara zimenirunda kivela Hakuna venye utajifanya hutusikii
Venye si tunaboss, unaonekana we ni mbleina Kila beat tuko strapped
Na ki Jesus piece Tukifinish hatuonekani tena Trap trap bila burden
Trap Nai, Kitusuru na Karen Peleka wazimu Mathare Hatubongi ka
Haulipi hiyo stori ni usare Samahani sana venye maneno Haiwezi vunja
Yai Chungeni mbuzi zenyu Kitu ya mtu si rule yangu First day alikuja
Then na boyfriend Sai anaspend time kwa room ya mine Amini msiamini
Ndugu zangu Thanks God kwa baby steps naona nikiomoka Since baby
Steps niliona nikiomoka Hawalali ati walidhani Khali alikuwa amechoka
Nimechizi as if wachape bangi Madam mi lung-i inaburn Nipe Jesus
Piece, Babylon army ndo na inabang Mi ndo bigger beast Fanya hadi
Padri dhambi na gun Hapa hacommit tisha babi walami zombie inakam.



Авторы: Brian Robert Ouko Omollo


Wakadinali feat. Khaligraph Jones & Abbas - High Noon
Альбом High Noon
дата релиза
21-08-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.