Wakadinali - Mazoea (Skillo) текст песни

Текст песни Mazoea (Skillo) - Wakadinali



Usizoeane na mimi, tusizoeane nani
Hapana leta mazoea hehehe
Nina deni ya jamaa ya thao ka mbao
Atapata thao na promise kibao
Ataona madharau hajui ye angalau
Kesi yake haijainvolve makarao
Kitu sipendi ni kuzoeana nao
Mgumu kulipa deni CRB wananinauwo
Nikiitisha beer we dish ya gizo
Pizza ya kulipiwa utatiwa mimba
Aah tusizoeane nani tumia doh zako nitarefund
Hizo ndio zako basi tuelewane (sasa)
Ni shilingi ngapi, ni masaa mangapi?
Mtakuja wangapi, home ama away?
Whom do I pay?
Usiniite bae na namba usinipe
Ni za kihunire usilete zibedeshe
Ju, mazoea huleta tabu (tabu)
Na tabu huleta tabu bana eh
Mazoea huleta tabu (tabu)
Na tabu huleta tabu bana eh
Tusizoeane nani (pan taka)
Usizoeane na mimi (hapan tambua)
Tusizoeane nani, hapana leta mazoea
Si mnanishangaza ati natakaa
Niwachunie ganja na zigi kadhaa
Si mngejipanga na nikikata
Nanunuanga mi sijapanda (no way)
Tusizoeane nani, watiaji na pia machaji
Kwa uhalif hakunanga arif
Usinipe spliff ka si mi nimei sanif
Usizoeane na mimi usichunguze kile nina amini
Ama kile ninafikiria akilini, masimu mingi ni za nini
Na we si bibi ama mchumba wa siri
Maswali mingi ni za nini
Haijalishi masikini tajiri, kitu sitaki ni kuzoeana na mimi
Hapana leta mazoea ati naleta na we unadoea
Kuombe fedhe ikiezekana chorea
Hapana leta mazoea ati naleta na we unadoea
Kuombe fedhe ikiezekana chorea
Mazoea huleta tabu (tabu)
Na tabu huleta tabu bana eh
Mazoea huleta tabu (tabu)
Na tabu huleta tabu bana eh
Tusizoeane nani (pan taka)
Usizoeane na mimi (hapan tambua)
Tusizoeane nani, hapana leta mazoea



Авторы: Stephen Odongo


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.