Whozu - Kwa Mrombo текст песни

Текст песни Kwa Mrombo - Whozu



S2KIZZY baby
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Manyama manyama
Zi mpaka zi mpaka zi (zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (zi)
Naamka asubuhi na usingi (zi)
Naenda kunywa chai ya tangawi (zi)
Na kitafunio cha maanda (zi)
Amenikataa Mimima (zi)
Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kaaga mwenye madoa
Mmm eeeh mzuri nani eeh
Mzuri kanga mwenye madoa
Ebe ebe ebe eehehe
Ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe
Ebe ebe eberere
Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Manyama manyama
Eeh tunayabambia machinene (aloo)
Kama hujachangia usisogee (sepaa)
Tunakunywa bia mapededje
Nakujenga tutajenga pia (labda uzee)
Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kanga mwenye madoa
Mmmh eeeh, mzuri nani eeh
Mzuri kanga mwenye madoa
Ebe ebe ebe eehehe
Ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe
Ebe ebe eberere
Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo eeh
Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa mrombo... eeh
Kwa mrombo
Manyama manyama



Авторы: Oscar John Lelo


Whozu - Kwa Mrombo
Альбом Kwa Mrombo
дата релиза
20-09-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.