Whozu - Roboti текст песни

Текст песни Roboti - Whozu



Toto body body Chuchu antenna
Mbele Fordi nyuma Container
Ha affordi forgi mapenzi sinema
Eeh eeh eeh mapenzi sinema
Kisu kilikuwa butu nikakinoa makali
Aaah nikakinoa makali
Msisubutu kumpendea machali
Aaah kumpendea machali
Mami love, mami love
Nikikumisi na pweta pweta
Mami love, mami love
Basi leo usichane mkeka
Jamani mwenzenu nakoma
Kisa (Bacheo viwalawani)
Nilimnyima usiku wa jana
Amenizilia leo
Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti
Wewe mwaache) Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti
Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti
Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti
Haka ka shawty kiboko eeh
Kana mapozi fulani ya photo eeh
Kapandwa mori sio ndoto eeh
Nitakalisha ndizi kibosho
Akigeuka napaua (Chee)
Akijilaza wima napaua (Chee)
Kwenye bilingi napaua
Yaani nakaba kaba vinoma (Yeah heh)
Mami love, mami love
Basi leo usichane mkeka
Jamani mwenzenu nakoma
Kisa (Bacheo viwalawani)
Nilimnyima usiku wa jana
Amenizilia leo
Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti
Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti
Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti
Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti
Imenitoka iyo
Imenitokaa
Imenitoka iyo
Imenitokaa
Na nakosea sijafanya makosa
Basi cheza fair ukinuna hupendezi
Mwenye beatii...
Ni Bwana Whozu
Akiwa na Boy young
Kanuna ka roboti
Kanuna ka roboti



Авторы: Salim Kassim Maengo, Oscar John Lelo


Whozu - Roboti
Альбом Roboti
дата релиза
25-04-2019

1 Roboti




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.