Willy Paul - Kamati ya roho chafu (Sautisol) текст песни

Текст песни Kamati ya roho chafu (Sautisol) - Willy Paul



Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudensi
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudensi
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Baby dance ukipinda mgongo
Dance kama chiba katupa magongo
Eeey dance kwenye beat ya Kimambo
Dance mami yaani kama unacheza kigoco
Mi niko vibaya baby
Kama gari imezima imeshusha gauge
Yaani na retire baby
Kwako tu ni moshi nishazima fegi
Baby dance Hallelujah
Njoo katikati dance kakololo
Hii niokote ka maua
Leo Willy Paul Sauti Sol wanatesa
Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudensi
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudensi
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Pinduka leo kunalipuka
Watu juu ya furniture
I can see you looking at me
Indica pia kuna sativa
Sura ya malaika
Won't you back it up on me
Mali safi iende chain
Anything she wants tonight for me
Call me daddy say my name
Na ukinipa leo nitazamisha
Kama Tsunami tumekuja
Wengine kasi ni army
Been a good boy kutoka zamani
Sol Generation we ran the city
Yeah.
Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudensi
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudensi
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudensi
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudensi
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
Be be bend umugongo
(Teddy B)



Авторы: Wilson Opondo


Willy Paul - Kamati ya roho chafu (Sautisol) - Single
Альбом Kamati ya roho chafu (Sautisol) - Single
дата релиза
29-07-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.