Willy Paul - Kanungo текст песни

Текст песни Kanungo - Willy Paul



Nasikia naumwa kichwa yeh-eh-eh
Nasikia sijihisi vema yeh-eh-eh
Nitaishi vipi bila wewe mpenzi niwie radhi
Ni mimi mpenzi nimekosea
Ni mimi mpenzi nimekosea-ah-ah
Lakini mwana hajakosea
Baby tatema machozi, yanidondoka mimi
Na ninatokwa machozi yeh-eh
Nasikia unaolewa, my baby, my honey
Na mimba umepata ndoa, ya kwangu mimi
Mpenzi unanijua
Unanipa uchungu moyoni
Unajua,
Unanipa mawazo kichwani
Baby kweli nilikosea, lakini mtoto hakukosea
Naomba usinisamehe, lakini umsamehe
Yeah-eh-eh, ma-ma-ma-ma-ma-ma
Oooh oh, yeah-eh-eh-eh-yeah
Nilisikia, Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe ...
Baby kweli, unampenda huyu jamaa
Nieleze kweli, unampenda huyu jamaa-ah
As much as najua, huwezi nisamehe heh-eh
Ninge penda ujue, bado nakumind
Nilidhani nitaanza, familia nawe-eh
Nilidhani shida zetu tutazipiga sote
Kweli sio kila mtu mwenye maumbile nzuri ni mzuri, yeah
So don′t judge a book by the cover
Oooh oh, ooh yeah-eh-eh-eh-yeah
Nilisikia, Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe ...
Baby kweli, unampenda huyu jamaa
Nieleze kweli, unampenda huyu jamaa-ah
As much as najua, huwezi nisamehe heh-eh
Ningependa ujue bado nakumind heh-eh
Nasikia naumwa kichwa yeh-eh-eh
Nasikia sijihisi vema yeh-eh-eh
Nitaishi vipi bila wewe mpenzi niwie radhi
Kama siko na wewe, umuhimu gani wa kuishi?
Kama huko na mimi, haja gani ya mimi kuishi
Nilisikia, Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba
Ndio ucheze naye naye kanungo
Amekununulianga kanyumba
Unitoe...
Ma ma ma ma ah-ah
Ma ma ma ma ah
Ma ma ma ma ma-ma-ma
Ma ma ma ma ah
The Word of God inasema...
...Learn to forgive



Авторы: Willy Paul


Willy Paul - Kanungo
Альбом Kanungo
дата релиза
04-01-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.