Willy Paul - Tempted текст песни

Текст песни Tempted - Willy Paul



Willy Poze
Na Na Na Na
Nilikuwa tempted tempted kuparty sana sawa
Tempted tempted na wasichana.
Sawa
Ooh tempted tempted temptation nimeshindaa sawa
Te te te te te te te te te te
Sawa ai ai
Napenda raha but hio ni balaa Will Paul ni kijana bomba ibilisi
Amejaribu kuniweka chini na Fatuma yee napenda raha but hio ni balaa
Willy Paul ni kijana machachari ibilisi amejaribu kuniweka chini
Nimemshinda aaa from what i know ata Huddah ama Vera hawaniezi nooo
And i know alot of times we falling down and it doesnt matter how
Many times we falling down Najuaa ananipendaa ananipendaa Nilikuwa
Tempted tempted tempted kuparty sanaa sawa tempted tempted na
Wasichanaa sawa oow tempted tempted temptation
Nimeshindaa sawa te te te te te te te te te sawa ai aaai
Temptation zote ziko chini kwa chini chini kwa chini mapepo wote wako
Chini kwa chini chini kwa chini madawa zote ziko chini kwa chini
Chini kwa chini Uchawi wote uko chini kwa chini chini kwa chini ok
Soo ngoja kidogo ule mvuta bangi ameokoka
Ok so ngoja kidogo wavuta bangi wale wameokoka
From what i know ata Huddah ama Vera hawaniwezi noo Nilikuwa tempted
Tempted tempted kuparty sana sawa tempted tempted tempted na
Wasichanaa sawa oow tempted temptation
Nimeshindaa sawa tetetetetete te te tempted sawa aiaaai
Tempted tempted tempte no
Hapana hapana



Авторы: Willy Paul


Willy Paul - Tempted
Альбом Tempted
дата релиза
19-12-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.