Текст песни Unanikoleza (feat. Aslay) - Wini
Ndoto
niliyoota
imetimia
Hey
napata
ninachotaka
mia
kwa
mia
Ooh
baby
mitihani
niliopita
nimetusua
Naringa
nimeridhika
najivunia
Habibi,
habibi
nipepese
nifaidi
Nipe
joto
ni
baridi
Oooh,
iiii
Gaidi,
gaidi
Nimetekwa
kigaidi
Nimelewa
sikaidi
Nifunge
kamba
nisiondoke
Nizibe
nisione
chochote
Nikianguka
uniokote
Nideke
deke
Wa
konde
mapaka,
mapepe
Nilishe
mpaka
ninenepe
Wakituona
watukwepe
Waweweseke
Unanikoleza
unanieleleza
Oooh
unanikoleza
Sina
cha
kusema
najieleza
we
Oooh
najieleza
Unanikoleza
unanieleleza
Oooh
unanikoleza
Sina
cha
kusema
najieleza
we
Oooh
najieleza
Mwana
ana
neema
Anakula
suro
na
minyama
nyama
Chanda
chema
Nakivisha
pete
kabla
halijazama
jua
Ilikuwa
neema
Kukupata
wewe
naona
zari
sana
Nipende
mama
Namuomba
Mungu
nazizidisha
na
dua
Akikula
nakula
Akilala
nalala
Nitalala
nayee
Mwachana
kudura
Labda
mapenzi
ya
Mola
Acha
ni
dhi
ayerehere
Penzi
lizani
mizani
kwa
uzito
Hongera
umeitimiza
ndoto
Mtoto
mtojo
jicho
jicho
Mi
kwangu
sherehe
Nifunge
kamba
nisiondoke
Nizibe
nisione
chochote
Nikianguka
uniokote
Nideke
deke
Wa
konde
mapaka,
mapepe
Nilishe
mpaka
ninenepe
Wakituona
watukwepe
Waweweseke
Unanikoleza
unanieleleza
Oooh
unanikoleza
Sina
cha
kusema
najieleza
we
Oooh
najieleza
Unanikoleza
unanieleleza
Oooh
unanikoleza
Sina
cha
kusema
najieleza
we
Oooh
najieleza
Kwakwaru,
kwakwaru
Kwakwaru,
kwakwaru
Kwakwaru,
kwakwaru
Penzi
kidalipo
ayee
Kwakwaru,
kwakwaru
Kwakwaru,
kwakwaru
Kwakwaru,
kwakwaru
Ukalale
nacho
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.