Wyre feat. Johnny Vigeti - Barua Ya Mwisho текст песни

Текст песни Barua Ya Mwisho - Wyre feat. Johnny Vigeti



Love Child upon dah case!
Gideon boots already know!
Ready fi go fight dis war
Negativity full of taxing
Ready fi polluting yah conscious
Sina uwoga nina Mola
Thamani hawatani pora
Majaribio kwa wingi!
Imani yangu msingi
Homie life seem confusing
Only refuge coulda been mi-music
When me think about my family again
And the only gift to life coulda never want abuse it
Father God keep me sane, through all this pain
Nipe haki niishi, bila chuki
Show me that right way, when I go astray ooh
Nipe haki niishi, bila chuki
Najiskia huyu hata sio mimi
Man, hata sijui ndio nini!
Nafsi yangu ime-dhoofika
Medication yangu huwezi ipata hosii aah!
Hata sinanga motisha
Ukinigeuzia mgongo ndio sasa ndio kwisha
Saa ingine mi hujiaangalia
Ushaona mwanaume akiskia kulia
Nimepotea bado naulizia njia
Najua vitu hufanyika na sababu
Alafu bado huwezi ridhisha mwanadamu
Niwe-tu ndio nikikuita una-kamu
Huwezi badilisha chenye Mungu ameandika
Huwezi ukarudisha wale ndugu tumezika
Mambo kwisha, hatuwezi saidika
Tafutana na salvation kule kanisa
Father God keep me sane, through all this pain
Nipe haki niishi, bila i chuki
Show me that right way, when I go astray ooh
Nipe haki niishi, bila i chuki
Kweli hawataki kujua
Naona nikaa washikaji wataniuwa
Wako faster kuni judge mimi
Naweza gonga mtu punch nini
Zukungwa na upuzi, kama za booty zinafungwa na mu...
Hio ndio kitu ya mwisho nitawaandikia
Najua hiyo risto itawafikia
Kwa kifua uzito naachilia
Naenda mimi sijui kama nitarudi
Tusipo onana pia goody
Man, tusipo onana pia goody
Napiga magoti
Asante hapana nipita Sir-Gody ha!
Potelea kwa form hakuna
Man, tunaongelea hawa ma-kuma
Haina noma hayo ndio mawazo ya mwisho
Na sio mawazo ya mwisho
Sio mbali kutoka hapa
Hapana kuchoka sasa
Nahofia watoto wetu
Hao ndio hope na ndoto zetu
Sumbuliwa tu na serekali
Hata sijui wanaficha siri gani
Father God keep me sane, through all this pain
Nipe haki niishi, bila chuki
Show me that right way, when I go astray, ooh!
Nipe haki niishi, bila chuki
Father God keep me sane
Father God keep me sane
Father God keep me sane
Through all this pain
Father God keep me sane
Father God keep me sane
Ooh! Nipe haki niishi, bila chuki
Ooh! Nipe haki niishi, bila chuki
Ooh! Nipe haki niishi, bila chuki




Wyre feat. Johnny Vigeti - Lion
Альбом Lion
дата релиза
15-08-2015



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.