Young Lunya - Fimbo текст песни

Текст песни Fimbo - Young Lunya



Hawatuwezi Oooh Nana
Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa
(FIMBO KAMA KAWA) Kama (FIMBO KAMA KAWA) Dawa
(Verce 1)
Wakija vibaya Wanakaa
Wambea Vikao Watakaa
Mawaki nafasi ya kuongea siwapi
Huwaga Nawanyanyapaa
Nimewapa Nasafi ya Kunijua Jina Wakataka na Nnapokaa
Leo Napendwa Sababu Nnacho Nikikosa, Habari zitatapakaa
Kung'aa Ndoozeetu
Mambo wena Mfwetu
Watoto kibao wanalia Dm
Sijui Niwagongee Tuu
Na nawawashia Full
Hauzimi Moto wakiifuu
Wanashanga kuona
Rapper wakisasa mwenye pigo za kiold Skul
Tatizo Hawajulikani
Kwa Hivi Nnavyochana Nntabattle na Nani
Kwa sasa Michongo yote ya Zamani
Naipiga X Kama Petit Man
Ni Mimi Tuu na Hizi Stimu za Mjani
Chuki ni chuki kwani kitu Gani
Acha Utani,
Rapper Unayejaribu Kumdiss kwa sasa Hawezekani
Si ndotunakimbiza
Roho Tunawaumiza
Napata kinyaa nikitema yai
Sjui yai langu Viza
Watu hawaishiwi Visa
Ka Natoka Naumiza
Kila wanaponiona Camera Kibao wakazani naigiza (Oh My)
Hawatuwezi Oooh Nana
Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa
(FIMBO KAMA KAWA) Kama (FIMBO KAMA KAWA) Dawa
(Verce 2)
There They Go wanga There they Go
Na ukija Kwenye Mziki Mi kisiki U Better know
Why Unaniombea Dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo
Maana ukija kwenye mziki Kila nnachofanya Ni Miracle
Marapa Wadogo nawaonea
Mi ni kama Gonjwa naenea
Wanaonijua kitambo wanaelewa
Toka enzi za Uongo na Umbea
Kwenye Beat hawakai wanaelea
Na Ikawe Funzo Buure nawapea
Nawaambia Ukweli Sitowaongopea
Nawaona Kama Choo ndomana Nawanyea
Anayewakimbiza katima michano, Kama sio mimi ni nani mwengine
Dundo la Paul likipata Verce ya mbuzi siku zote huwaga Mashine
Mwendo haupoi Nawakimbiza speed kwenye Kona haishuki Uspime
Idadi ya watu wasionikubari Imekuwa ndogo sana Nahitaji Wengine
Wanaobana Nawataka wengine
Hata Wambea Najitaji Wengine
Mana zama zimeshabadirika mpaka watoto wanapenda mashine
So Ningependa Wachawi Wengine
Hata wanoko nipate Wengine
Masnichii wenginewengine
Labda Nkapata Challenge Pengine
Hawatuwezi Oooh Nana
Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa
(FIMBO KAMA KAWA) Kama (FIMBO KAMA KAWA) Dawa



Авторы: Rashid Rashid Lunyalile


Young Lunya - Fimbo
Альбом Fimbo
дата релиза
21-11-2020

1 Fimbo



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.