Young Lunya - Tikisa (feat. Country Boy) текст песни

Текст песни Tikisa (feat. Country Boy) - Young Lunya



Switch Bonge la beat kutoka kwa (
Ammy) Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi nafanya wanatikisa,
Tikisa Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi nafanya wanatikisa, tikisa
Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa Yeah,
Show kali Coachella Mi najua pesa like am bank teller Huwezi
Kuniendesha mi mwenyewe msela Nikimwaga pesa get your umbrella Like
All my fellas don't get out Ninawamega ya kisela sitoi hela
Ninawakabia kwa juu sitoi penalt Nachana utasema sichani tena Hii
Hapa sele kampa kampa tena Pia hapa kwatatamba tamba tena Kuwasema si
Twawavisha chanda chema Vyema akifika tutachamba vyema like Oooh my,
Nikipita like ooh my Kumi na sita like fourty plus Tunawatisha like
Am Fortnite Tunakanukisha like mnyonge sikai Noma,
Siwachekei nawapa homa Kwenye beat shida vurumai
Lakini vita yaani you and I Wasionipenda naskia '
Huyu nae?' Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi nafanya wanatikisa,
Tikisa Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi nafanya wanatikisa,
Tikisa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Usione ifike watu wana bang bang You know I be rocking
With my gang gang Leta mkwanja kwanza tusebenze Hatutaki umbea
Walambishe za kiseng* Woah,
I told Lunya go get this beat Money money Yebo in this
Beat Yeah boy and we run this streets Bunduki ishanikoki boy(
Tu tu tu) Vichwa vina bang like woo Am with the
Baddest you'll know Maboy go get that doh Money where?
Yes we go Kushinda shinda, sky go pigo pigo Mmbea izamishe kwangu,
Mmh-mmmh yeah Mi nataka money, yeah michoro money Ready,
Ready yeah true true(woah) Na hatujawai kuigiza,
Yes we believers There is no one who wanna fake Mpaka umepitiliza
Kill a bitch who dug a pizza Marble back to pizzo,
Kiende kwangu Oh Jesus Usiulize kuhusu pambo wala flows Where the
Swag drops on to feature Me ndo toss lao,
King lao Kwenye show zao Mi nafanya wanatikisa,
Tikisa Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi nafanya wanatikisa,
Tikisa Mi nafanya wanatikisa, tikisa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa,
Tikisa vichwa Mi ndo nafanya wanatikisa vichwa, tikisa vichwa



Авторы: Young Lunya


Young Lunya - Tikisa Feat Country Boy
Альбом Tikisa Feat Country Boy
дата релиза
08-07-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.