Текст песни Hasara - Zuchu
Ahaaa
ahaaa
Mmmh
mmmh
(Mr
LG)...
haaa...
Mi
staki
tuongee
Moyoni
nina
machungu
machungu
Sije
tenda
dhambi
mmh
Ila
chozi
la
mnyonge
Malipo
ni
kwa
Mungu
kwa
Mungu
Bora
nihame
kambi
mmmh
Kama
subira
ina
mwisho
Ina
mwisho
wake
maana
Asali
umeimaliza
mzinga
Ukanifanya
tahira
Suluhisho
nimeona
kwako
hamna
Moyo
wangu
si
wa
mninga
Najitoa
Tunangombana
kwa
vitu
vidogo
Kosa
si
kosa
unageuka
mbogo
Huna
dogo
wewe
Hunipendi
unang′onga
kisogo
Punda
siendi
eti
bila
magongo
Mpenda
zogo
wewe
Kukupenda
tena
staki!
Nimekoma
staki!
Kukuona
staki!
Narudia
tena
staki!
Kukuona
staki!
Nimekoma
staki!
Bora
nihesabu
Kwa
penzi
nimepata
Hasara
aah
(oh
hasara)
Hasara
aah
Hasara,
hasara
Hasara
ya
roho
Penzi
imekwenda
zake
Hasara
aah
(hasara
ni)
Hasara
aah
(hasara
ni)
Hasara,
hasara
Kina
cha
maji
matitu
Kanacha
bila
boya
nijifie
Kosa
langu
nini?
Mchana
nauona
ka
usiku
Nachacha
nyie
maumivu
niyasikie
Yasiwakuteni
iiih
Na
kama
albadiri
Ya
bayana
umeniumbua
Umeniadhiri
Umeniacha
mnyama
na
nguo
umenivua
Kukupenda
tena
staki!
Nimekoma
staki!
Kukuona
staki!
Narudia
tena
staki!
Kukuona
staki!
Nimekoma
staki!
Heee!
Bora
nihesabu
tu
Kama
nimepata
Hasara
aah
(oh
hasara)
Hasara
aah
(hii
hasara)
Hasara,
hasara
Hasara
ya
roho
Penzi
imekwenda
zake
Hasara
aah
(hasara
ni)
Hasara
aah
(hasara
ni)
Hasara,
hasara
(Ka
mix
Lizer)
Haa,
haa,
haa...
Bora
mi
nibaki
nalia
Haa,
haa,
haa...
No
no
nono
noo
Mmmh
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.