Zuchu - Pwita текст песни

Текст песни Pwita - Zuchu




(Ayo Lizer)
Wa rohoni
Ukweli kabisa nakukunda chane
Hapo moyoni
Peke yako umeka, you are the only one, ayaya
Nawataarifu nimempata mwenyewe
Huyu ndo anaenifaa haya
Na nisitake kitu lazima tu nipewe
Sione nawakata aya
Nami naahidi (mh, nami naahidi aye)
Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi (ah, sina, sina)
Nitakupenda milele, eh-eh
Pwita, pwita, pwita, pwita
Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita
Pwita, pwita, pwita, pwita
Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita
Tunaendana, hamuoni hata mkitutazama
Tunapendana, mi' nae kufa kuzikana
Ananipa tende nampa asali (asali)
Mpende msipende wala sijali (sijali)
Nami na, ah
Nami naahidi (ah, nami naahidi aye)
Chaguo langu ni wewe (chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi (ah, sina, sina)
Nitakupenda milele, eh-eh
Pwita, pwita (ai jamani)
Pwita, pwita (unani pwita mimi)
Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita (mh)
Pwita, pwita (ai jamanii)
Pwita, pwita (likitajwa jina lako)
Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita
Mh wacha Lizer nibakishie
Ai wewe mama
Eti, iyi, iyi, iyi, iyi, iyi, iyi, ah
Ha, ha, njoo tucheze kompa
Oh, oh-oh
Oh, oh-oh



Авторы: Siraju Amani, Zuhura Soud



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.