Zuchu feat. Diamond Platnumz - Wale Wale (feat. Diamond Platnumz) текст песни

Текст песни Wale Wale (feat. Diamond Platnumz) - Zuchu , Diamond Platnumz




Sisi ndo wale wale, mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbali (na Simba lama)
Sasa tumejipata (ni Zuchu chu-chu-chu)
He-he-he (ay-ayo Trone)
Ay wewe Trone, hee!
Aya-ya-ya-ya, ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya, hukujua nina Mungu
Aya-ya-ya-ya, eti nile chuku-chuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kuku-kuku
Hee!, chote ni choyo na sijali
Ndio kina waumiza
Na Mungu wangu (na Mungu wangu)
Yu ngangari, cheza nami atawamaliza
Karibu, ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (mama Suma)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae
Sisi ndo nani?
Sisi ndo wale wale (sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa (mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbali (jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata (aah hee)
Sisi ndo wale wale (sisi ndo wa-wa-wa-wa)
Mlio tukataa (mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbali (jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata (ah!)
Ooh, eti ntakufa (kwani we utaishi milele?)
Nilipozitafuta (mbona mliniacha mwenyewe?)
Hizo chuki na pupa oh (ndo zinofanya mchelewe)
Oh, kwa kushinda kutwa (roho mbaya na viherehere)
Aah, na mwaka huu mtaisaga rumba (eh kwanini?)
Oh, maana nimemuomba Mungu mpaka nyumba (aah)
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba (eh waganga)
Waganga wenu wambieni wakoleze ndumba
Aah, oh binadamu ni wa ajaabu sana ('jaabu sana)
Wana maneno ya kukatisha tamaa
Binadamu ni wa ajaabu sana
Wana matendo ya kuumiza sana
Walisema eti nina nuksi ya senti (kapachuka)
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti (ooh)
Nani wa kunidate (mmh), bega kama kenchi (ooh)
Kudadeki zenu 'asa mbona mnakechi
Oh, sisi ndo wale wale (sisi ndo wale wale)
Sisi ndo wale wale
Mlio tukataa (mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbali (jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata (aah, hee)
Sisi ndo wale wale (sisi ndo wa-wa-wa-wa)
Mlio tukataa (mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbali (jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata
Kamix lizer



Авторы: Nasibu Abdul Juma Issaack, Emmanuel Mkono, Mavogy, Aika Marealle



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
//}