Ethic Entertainment - Figa Lyrics

Lyrics Figa - Ethic Entertainment



Motif di don
Kwanza venye umejibebanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Tako venye we huchezanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Figa fire yani dangerous
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Ah, mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Ringi ndani ya goro
Alafu akuwe solo
Kwanza akiwa momo
Buda namchongoa
Macho zako ndogo chongo
Mlami mboko mpaka usogo
Dem akiwa campo ana stone proper
Alafu akiwa vajo anadondosa
Pale down town na anadondosa
Pale down, pale down kudondosa
Venye umejibebanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Tako venye we huchezanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Figa fire yani dangerous
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Ah, mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Niko kidalio shamba nachuna mboga
Leta jaza kwa chupa ya Jonnie Walker
Mi natakia mayeng mula rieng
Nazichuna kama Matiang′i
Ni kunyanda upigwe mboka
Kuku manga kwa tools zangu za mogoka
Hakuna panya, so paka atakula nyoka
Wakitaka kitanda niko na sofa
Chapa chapa ukichapa, naachia ngoma
Venye umejibebanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Tako venye we huchezanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Ah, mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Kwa mbulu, looku, washa kindukulu
Kam tu kejani nikupige maviboko
Pale Instagram, tunachachisha na kimboto
Venye unawatesa mi napenda mangoko, mangoto, malocal
Siko kwa mbosho, orosho
Madiva zimebude na ni koro
Kulamba mororo, fika ndono juu ya koto
Vurugu kukaba kwa kina mahuru
Kwanza venye umejibebanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Tako venye we huchezanga
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Figa fire yani dangerous
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Mi hudai, mi hudai
Mi hupenda, napenda
Ah, mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)
Mi hupenda, napenda (Penda)




Ethic Entertainment - Pandana - Single
Album Pandana - Single
date of release
09-12-2019




Attention! Feel free to leave feedback.