Fid Q - Masta ( Intro) Lyrics

Lyrics Masta ( Intro) - Fid Q



Wimbo wa kwanza kabisa kuusikia, ulikuwa ni huyu na yule
Hazungumzii mapenzi, Bali anazungumzia jamii kwa ujumla
Sio mtu ambaye kwamba analenga tu soko kama watu wengine
Vitu kama pesa na vitu kama hivyo
Ni mtu ambaye anafanya kile ambacho, jamii inataka kukipata
Unaweza lala na bundi na ukaamka mwenye bahati
Usilale fofofo, Ruzuku yako itakwisha
Utatembea hovyo, Ka kuku alokatwa kichwa
Hakuzaliwa kuwa kamili lakini alizaliwa kuwa real
Anajali zaidi kile ambacho watu wanatakiwa kupata kutoka kwake
Kile ambacho Mungu amembariki basi na yeye
Amekifanya kuwa baraka kwa watu wengine
Kwa ufupi, Fid Q ni Masta
Usiniite mtata nikiwa na njaa ya pesa, story na mkora
Kamwe sitokata tamaa, Forever i'll live so all out
Hustler, Kila kona nasaka goli, Footballer
Jina ni masta au degosholo ukinicheki tu kora
Sio kinyonge homie, Rasta kama Johny dandora
Tumsake tonge ila
Namfuata pombe hauoni ving'ora?
Mwanza Mwanza to the world, Na hamgomi nikichora
Flow zinafanya hadi Joh awaambie sinoni mie bora
Kutupiana vijineno na kuanza braza hii sio diss
Ni vile tunaokotea na meno ya weep it kisha other stiff
Usiruhusu wakatujaza si tuwape ladha tu sweet
Majungu hayazuiliki lakini wino wa Mungu haufutiki
Sio tu akeshaye, hata alalaye humpa riziki
Palipo mzoga hawakosi taa waliomuwahi fisi
Kuthamini walichonacho, Wataanza kitapo potea
Na wanacho Miss hawakijui, mpaka kitapotokea



Writer(s): Fareed Kubanda


Fid Q - Kitaaolojia
Album Kitaaolojia
date of release
13-08-2019




Attention! Feel free to leave feedback.