Fid Q feat. Taz - Sky High Lyrics

Lyrics Sky High - Fid Q , Taz



Hey hey hey hey
See I got this love for my baby
See I got this love for my baby
I can't live without her
I can't do without her
Course she is like dark into the dark
The way she smile at me
Kissing me
I feel like am the only bird in the sky
Love in the sky, love in the sky, Love in the sky
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Let's fly high let's fly high
Ulizaliwa ili unifae ufae nifae mimi
Naso nijiandae badae anikatae mimi
Nimeshakuwa high presha haifai njo ukae nami
Wezesha ing'ae ichezeshe ijae uzae nami
Skia usiharibu hii bahati nasibu I say
Tabibu nikuvishe almasi sio chibude
Unanambia utulivu kwako ni uvivu
Na upo likizo wivu hauwezi kunijibu hivyo we
Mhh napenda honey ukiongea
Naweka utani natamani usiishie njiani endelea
Me sina ujanja wala siri ma
Usintose FID
Pasi naviganja viwili ahh kofi hazilii
Nifanye niwe boss nipe madill dill
Nifanye njikoshe nlipe mabill bill
Nifanye nsichoke vile nafeel feel
Nifanye tuwesote ile for real real
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Let's fly high, let's fly high
Unanifanya nibaki kitandani utadhani nnaklinomania
Nibaki ndani mtaani nionekane nimepania
Dirishani sauti flani iskike unalia
Tumisiane uniite ila nskulishe bamia
Hauwezi nitoa stimu mavitu adimu ndo unatoa
Nikitupoa kuwa muhimu na ni muhimu kuwa mtu poa
Unaakili ulinifata ukalamba dume
Mkokoteni uliokufuata hauendi mpaka usukumwe
Nifanye niwe boss nipe madill dill
Nifanye njikoshe nlipe mabill bill
Nifanye nsichoke vile nafeel feel
Nifanye tuwesote ile for real real
Love in the sky, love in the sky, Love in the sky
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Let's fly high let's fly high
Love in the sky, love in the sky, love in the sky
Let's fly high let's fly high



Writer(s): Fareed Kubanda


Fid Q feat. Taz - Kitaaolojia
Album Kitaaolojia
date of release
13-08-2019



Attention! Feel free to leave feedback.