Harmonize feat. Ibraah - Mdomo Lyrics

Lyrics Mdomo - Ibraah , Harmonize



Hahahah!!
Jeshi!!!!!
Chingaa!!!!
I want to sing for my lady, oooh!
Sexy ladynaaa
Mmmmh!
Wanaokesha wakiomba tuachane
Wanaupaka rangi upepo
Ufe unizike tuzikane
Kesho tukutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane
Kisha tuzidishe temple
Bila 6, 7 na 8 ata 10 isingekuwepo
Tena unavyo ni suza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yaani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama!!
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka tembo hapindui
Akina Carry Mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na vile una sifa unanipa tena
Yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeziba
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo
Yaani baby umeniziba
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo
Ooh! Baby
Me I don't even understand
Nahisi kama vile umenifanyia limbwata
Ila ndo mapenzi sishangai
My lady!
I don't want one night stand
Mimi kwako chizi nilisha data
Nitakupenda 'till I die
Maana unanipa ma we-nge,nge,nge!
Mara bichwa mara we-nge,nge,nge!
Kaja gym na kite-nge,nge,nge!
Ila mradi uchokozi
Oooh! Na-na-na!
Macho yanatazama mbingu
Mikono ushafunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu
Mi na mwa-ga,ga,ga machozi
Watoto wa Mombasa huko Kenya
Wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya
Mpaka tembo hapindui
Akina Carry Mastory wanakusengenya
Na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo una sifa unanipa tena
Yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeziba
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo
Yaani baby umeniziba
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo-mudo-mudomo
Mudo



Writer(s): Rajab Abdul Kahali


Harmonize feat. Ibraah - High School
Album High School
date of release
05-11-2021



Attention! Feel free to leave feedback.