Maua Sama - Kan Dance Lyrics

Lyrics Kan Dance - Maua Sama



(Can dance×4 mpaka chini) ×2
Kanga bila mtandio kata fanya marudio
Shika bosi kwenye matukio kata mpaka aseme ndio
Ca dance eee ayaya
Shake shake move your body oyoyo yooyo
You want to dance find somebody oyoyo yoyoyo
Bandika bandua van dieck cheza kama unalisasambua van dieck
Yan Kama unapiga kasia like that
Ruka juu kwa mizuka kamua varangati nyingi van dieck
Kanga bila mtandio oooh (bila mtandio) eeh
Timbwirika chekecha chujio aaah (chekecha chujio) eeh
(Can dance×4 mpaka chini) ×2
Eaaaah
Eaaaah
Eaaaah
Baby show me can you run my ways oooh run my ways
Come to the party dance cerebrate eee dance cerebrate
Hatari hainogi spidi yako kareti
Unyama sainogi ngujaga muleti
Shake shake move your body oyoyo yoyo
You want to dance find somebody oyoyo yoyoyo
Kanga bila mtandio oooh bila mtandao eeh
Timbwirika chekecha chujio aaah chekecha chujio eeh
(Can dance×4 mpaka chini)×2. Tae
Eaaah tae
Eaaah tae
Kiuno tekete tekete sasa waoneshe waoneshe weka make makeke
I wanna that suit you
(Can dance ×5) owyeeeee iyeeee
Oooh aeee makoke kill day
Eeh sama
Eaaah
Eaaah
Makoye kill day
Eaaah




Maua Sama - Sisikii
Album Sisikii
date of release
17-11-2019




Attention! Feel free to leave feedback.