Maua Sama - Main Chick Lyrics

Lyrics Main Chick - Maua Sama



(B-records material, baby)
Oh, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah, yeah
Pole pole usiniibie penzi ya habibi (bi-bi)
Mwanzo mwisho nitabaki na wewe kipenzi, yeah, yeah
Gimme gimme love my baby, touch me like this (oh-ooh, whoa)
Everyday I feel faith kuwa nawe yeye, iye
You got me up high
Unanipa kile nataka nafurahi, yeah
Uwatoe nishai
Wote waliotaka mi' na we' tuachane
And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time, yeah
Mpenzi usiogope fame
Dunia yetu mi' na we'
Tuwe wote kila sehemu, yeah, yeah, eh, yeah, iye
I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda)
Oh, let me be the main chick, nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick, nakupenda
Penda, oh, ya
(Eh, yeah)
Hey (oh, yeah)
Nakupa jina we' ndo' mume wangu
We' ni nyongo mkalia ini langu
Nafsi yangu imeridhia, sitokimbia
Nitazikwa na wewe (yeah, yeah)
Pole pole usininyime penzi laazizi
Tujinome raha ya mapenzi tufurahi
You got me up high
Unanipa kile nataka nafurahi, yeah
Uwatoe nishai
Wote walotaka mi' na we' tuachane
And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time
Mpenzi usiogope fame
Dunia yetu mi' na we'
Tuwe wote kila sehemu, yeah, yeah, eh, yeah, iye
I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda)
Oh, let me be the main chick, nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick, nakupenda
Penda, oh, ya
(Eh, yeah)
(Oh, yeah, yeah, yeah-yeah)



Writer(s): Chris Brown, Dijon Mcfarlane, Brian Collins, Glenda Proby


Maua Sama - Sisikii
Album Sisikii
date of release
17-11-2019




Attention! Feel free to leave feedback.