Vanessa Mdee - Intro Lyrics

Lyrics Intro - Vanessa Mdee



Have you ever been in love
Umeshawai kumpoteza umpendae
Ushawai kuchagua wakati ya ajira yako na mapenzi
Ushawai kujichukia na kujiona hufai
kwenye haya maisha kwa ajili ya mapenzi
Kumbuka hakuna ukingo mpaka mwisho wa pumzi yako
Na unaweza kuanza upya mda wowote
Kwa sababu kila mwisho wa jumapili.ni mwanzo wa jumatato...
Usiogope kuanza upya...
MONEY MONDAYS.



Writer(s): MARK ROSS, DAVID HOBBS, CHRIS WONGWON


Vanessa Mdee - Money Mondays
Album Money Mondays
date of release
19-01-2018




Attention! Feel free to leave feedback.