Vanessa Mdee feat. Mohombi - Kwangu Njo Lyrics

Lyrics Kwangu Njo - Mohombi , Vanessa Mdee



Tabasamu toka mama
Upolee na ukimya kwa baba
Katukutanisha rabana baby
Macho yako yanitazama sana
Kama uliniona jana moyo ndani unabishana hata ntake kuongea
Kweli oooh nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oooh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu nia yake niwe karibu
Akasema kwangu njoo
Kwangu njoo mama
Kwangu njoo
yagaeeenh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Akasema kwangu njoo
Kwangu njoo mama eeeh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Mohombi
Oooooh there she goes
Looking at me pretty girl looking so sweet
Yeah she knows am looking at her
Trying have here come to me
Oooh that love is on fire and it's not how to see
that your my only desire your the only one I need
I don't know when you much a back let see but i know that's must
be destiny oooh maàwee yakobongayaee macherie yakobongayaee my love
Yakobongayaee my one and only
Yakobongaaa
Kwangu njoo mama eenh
Kwangu njoo
Yagaeeenh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Akasema kwangu njoo
Kwangu njoo mama eenh
Kwangu njoo
Yagaeeenh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Kweli oooh nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oooh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu nia yake niwe karibu
Akasema kwangu njoo
Kwangu njoo mama
Kwangu njoo
yagaeeenh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Akasema kwangu njoo
Kwangu njoo mama eeeh
Yagaeeenh
Kwangu njoo
Kwangu njoo macherie
Come to me
Macherie
Macherie gaaaoooh
Baba aaanh
Kwangu njoo oooh




Vanessa Mdee feat. Mohombi - Money Mondays
Album Money Mondays
date of release
19-01-2018



Attention! Feel free to leave feedback.