Diamond - Chanda Chema paroles de chanson

paroles de chanson Chanda Chema - Diamond

Platnumz
Chanda chema uvishwa pete
Basi penda nikupende mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke so nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Lala lalalaa aah ohohoo mmh
Lala lalalaa aah ohohoo mmh x2
Chanda chema uvishwa pete
Basi penda nikupende mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke so nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Aah sito sema hadharani ila moyoni nitaumia (ooh)
Zile raha za chumbani nikianza fikiria (ooh)
Mmh najua watasema mengi tafadhali usisikize siunajua hawapendi lengo lao wakuumize
Nnajua watasema mengi ila tafadhali achana nao siunaujua hawapendi lengo lao oooh
Lala lalalaa aah ohohoo mmh
Lala lalalaa aah ohohoo mmh
Lala lalalaa(lalalalaa) aah ohohoo(oooh) mmh
Lala lalalaa(lalalalaa) aah ohohoo(oooh) mmh
Zidisha mahaba niteke tena nipe vya akiba ulivyovitunza ndani
Moyo upate maseke nisahau hata shida zote za zamani
Aah tena fanya hadharani ili wazidi chukia ah fanya hima natamani muda wao umewadia
Mmh najua watasema mengi tafadhali usisikize siunajua hawapendi lengo lao wakuumize
Nnajua watasema mengi ila tafadhali achana nao siunaujua hawapendi lengo lao oooh
Lala lalalaa aah ohohoo mmh
Lala lalalaa aah ohohoo mmh x2
Lalalalaa ohoho
Lalalalaa...
Ayooo let me dedicate this song to all the pain of ladies how dare
Lala lalalaa aah ohohoo mmh(nekee
Lala lalalaa aah ohohoo mmh x2(it is what it is they call me platnumz bby)
Wasafiiii

Diamond - Lala Salama
Album Lala Salama
date de sortie
05-02-2012

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.