Asum Garvey - A shrap freestyle текст песни

Текст песни A shrap freestyle - Asum Garvey



Ata kama balans anadai cheque pia mi nadai
Unadhani ni rahisi kumake mwengine ka mi
Hapana weh ni nani mi nahii aki ni ugly
I rap it on a flow i see peter marangi
Mi nachange it kama beat ikienda na
Ata kama words kidogo bado natema ka
Haina pressure naeza sema niko na
Nilisanywa nilihanywa nilitembeza
Boss hana post anarost tu kwa jua
Anadai kukaa toast ndio mi hapa nakunjua
Utaweza juaje vile mi naeza kua
Follow me hapa hapa hivi tu fika kwa jua



Авторы: Malcolm Mutiso


Asum Garvey - Shrapper Sum
Альбом Shrapper Sum
дата релиза
01-06-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.