Asum Garvey - Form Saii текст песни

Текст песни Form Saii - Asum Garvey



Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii
Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii
Form sahii, siforce line
Tape vibe, check the guy
Huku hali, life ni fine
Rieng smart, set kingwai
Na niko lap tu ka Pauleta
An'kule wangu ndio steppa
Hukujua garvey na tepa
Ni jah bars ndio natema
Hapa form hakuna pressure
Stress uisha na lesa
Riba zimenisetup the form fine better
Leta leta shash ni better
On this side of the sector
Na life idai mabetter
Na mind bado ujaset up
So Chorea kutucheza
Sidai form ya mamembers
One man army kama Dedan
Vile namada mameddlers
Ni jabba zimeshika mastory mingi napitisha
Bado niko tu mpambe usiwai toshanisha mandem
Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii
Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii
Natokea discount kwa madiscount za keg
Nadai makali napitia westmall kwa shem
Uchokozi ndio boyz ilifanya akapotee
Lakini nashukuru jana vile manze tuliitokee
Sichoki kupanda mat kunitoka lakini choree
Juu luku ni very smart kungangana ndio joo nitokee
Walidhania mi ni punk kuroga ngoso choree
Sipendi kurusha hands ka si moto kwa stage napee
Napendanga my fans wanajuanga garvey ni rare
Na balance highlands na quencher taste ni rare
Peace of mind napata na chants huwezi nipea
Na kama ni dare ni mimi ndio image itakuscare
Nightmare
Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii
Naona mummy's kwa ndai
Form sahii
Nipate mpambe kwa ndai
Form sahii
Hizo makata ndio sidai
Form sahii
Please please peleka tu mbali
Form sahii



Авторы: Malcolm Mutiso


Asum Garvey - Shrapper Sum
Альбом Shrapper Sum
дата релиза
01-06-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.