Otile Brown feat. Kidum - Leila текст песни

Текст песни Leila - Kidum , Otile Brown



Oooh yeah
Aah aah yeiyee,alright
Anaitaka haipati,alijaliwa kidhamini
Yeiyei yeiyee mmmh
Hakikam mwana akipenda kweli
Atapigana vita vingi,ainusuru penzi
Hivyo unampendea nini walai kila kutwa
Anakuuliza unang′ang'ania nini ni zaidi ya heri sivutI
Wanaume wengi ni kama?
Hawamaanishi wasemacho,ni waongo hawafai.
If I was your lover,ningedhamini penzi lako style bora .
Mwanamke anahitaji matunzo.
Leila leila ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Changu chako, chako changu mi nawe,na wewe.
Tena niacha utoto,kutwa kucha machangu,nikuoe
Nitakua shujaa wako nitaliwaza mama.
Ukinihataji mama nipigie simu yangu
Nitakua shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Nipigie simu yangu
If I was your lover,
Ningedhamini penzi lako style bora .mwanamke anahitaji matunzo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
If I was with you Leila
If I was with you leila
If I was with you leila
Si j′etais avec toi If I was with you leila
Ningekupenda ipasavyo my beiby
Si c'etait moi




Otile Brown feat. Kidum - Just In Love
Альбом Just In Love
дата релиза
03-06-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.