Otile Brown - Crush текст песни

Текст песни Crush - Otile Brown



Ooooh beiby
Mmmmmmmhhhhh
Oooooh oh
Yeeah eeeh... Eeeeiiiii
Oh Baby...
Sometimes nahisi kama Ni jana tumekutana Kwa
Kwa miaka ishirini ndani ya ndoa Ila bado unanikoshaga
Una mature kama wine Watoto watatu ila haujafulira
Tena mapenzi hayajapungua Nakupenda zaidi ya jana
Wala sijakuchoka
Mapenzi yanazidi noga
Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora
Am crushing over... youuuuu... eeeh Yoou...
Crushing on you... You are my favourite
Mwana wanje
Crushing over youuuuuuh.yeah Yoouuuuuuh...
Still crushing on you You are my favourite yeah
Mwana wanje
Oooh beiby...
Oooh yeah
Oooh beiby
Eeh eeh
If am to choose Girl i still choose you
Mara nikikuona roho inagonga dudu
Kwako nalilia sinong'oni bubu
Yeah yeah
Wajua zaidi yako mimi sinaga
Wananiuliza kipi nacho kupendeaga
Si lazima waelewe, beiby
Juu mimi nakupenda mwenyewe, beiby
Wala sijakuchoka Mapenzi yanazidi noga.
Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora
Crushing over youu... eeeh Yoou...
Crushing on you
You are my favourite
Mwana wanje
Crushing over... youuuuuuh... eeeh Yoouuuuuh...
Still crushing on you You are my favourite Mwana wanje×4
Oh baby... Oh yeah
Oh baby... Oh yeah
Oh baby... Oh yeah
End.



Авторы: Otile Brown


Otile Brown - Just in Love
Альбом Just in Love
дата релиза
20-09-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.