Songtexte Shangilia - Essence of Worship
Anastahili
sifa
za
mioyo
yetu,
hallelujah
Hallelujah
Vigelegele
kwa
Yesu
Shangilia
Piga
kelele
kwa
bwana
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
(Shangilia)
Shangilia
(Piga
kelele)
piga
kelele
kwa
bwana
(Shangilia)
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Shangilia)
Shangilia
Piga
kelele
kwa
bwana
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
(Shangilia)
Shangilia
(Piga
kelele)
piga
kelele
kwa
bwana
(Shangilia)
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Huyu
Yesu
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Vigelegele
kwa
Yesu)
(Sifa
kwa
mwanakondoo
kanisa)
(Eeh
bwana)
Eeh
bwana,
jina
lako
la
milele
Mungu
nguvu
la
vizazi
hata
vizazi
(Eeh
bwana)
Eeh
bwana,
jina
lako
la
milele
(Kumbukumbu
la)
Kumbukumbu
la
vizazi
hata
vizazi
(Mataifa
yote)
Mataifa
yote
msifu
bwana
(Enyi
watu
wote
humu
ndani)
Enyi
watu
wote
mhimidini
(Mataifa
yote)
Mataifa
yote
msifu
bwana
(Enyi
watu
wote
mhimidini)
Enyi
watu
wote
mhimidini
(Zaburi
ya
mia
hamsini)
Msifuni
kwa
mfumo
baragumu
Msifuni
kwa
kinanda
na
kinumbi
(Msifuni
kwa
matari)
Msifuni
kwa
matari
na
kucheza
(Kila
mwenye
pumzi)
Kila
mwenye
pumzi
na
msifu
bwana
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Huyu
Yesu)
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Huyu
Yesu)
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Huyu
Yesu)
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Huyu
Yesu)
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Shangilia)
Shangilia
Piga
kelele
kwa
bwana
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
(Shangilia)
Shangilia
(Piga
kelele)
piga
kelele
kwa
bwana
(Shangilia)
Shangilia
Msifu
bwana
wa
mabwana
(Shangilia)
Shangilia
Piga
kelele
kwa
bwana
Shangilia
(Msifu
bwana)
msifu
bwana
wa
mabwana
(Shangilia)
Shangilia
Piga
kelele
kwa
bwana
(Shangilia)
Shangilia
Msifu
bwana
wa
mabwana
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Ohh
Umetukuka)
Ametukuka,
milele
ametukuka
Ametukuka!
Ametukuka,
milele
ametukuka
(Na
Shangilia)
Shangilia

1 Wewe Ni Mungu
2 Upo Nami
3 Twaingia Malangoni
4 Tunaleta Sifa
5 Umejawa Utukufu
6 Wewe Ni Baba
7 Moyo Wangu
8 Mungu Wa Milele
9 Mwema
10 My Worship
11 Rafiki Mwema
12 Roho Mtakatifu
13 Shangilia
14 Tunakutukuza
Attention! Feel free to leave feedback.