Essence of Worship - Wewe Ni Baba Songtexte

Songtexte Wewe Ni Baba - Essence of Worship




Haku Haku Haku Haku yee
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Wewe ni Baba, ni Baba ni Baba
Wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani
Matendo yako makuu ya ajabu
Yatisha kama nini
Wewe ni Baba, ni Baba ni Baba
Wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu
Pokea sifa utukufu wote Baba (Unastahili)
Pokea sifa utukufu wote Baba (Unastahili)
Pokea sifa utukufu wote Baba (Unastahili)
Wewe ni Baba, ni Baba ni Baba
Wewe ni Mungu, ni Mungu ni Mungu



Autor(en): Essence Of Worship



Attention! Feel free to leave feedback.
//}