H_art the Band - UMENIKOSEA Songtexte

Songtexte UMENIKOSEA - H_art the Band




Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana
Mmh
Umenikosea ah
Kisha ukaenda ukapotea ah
I still keep you in my prayers ah
Nishaakusamehea
Umenikosea (Aaahhh)
Kisha ukaenda ukapotea (Aahh)
I still keep you in my prayers (Aaahhh)
Nishakusamehea (Aahh)
Pretty pretty
Mbona siku hizi
Hausikiziki
Hauambiliki
Niko zangu Pwani
Bado naandika mziki
Kusaka hii riziki
Kila siku ya wiki
Said that you were feeling
Some type of feeling
Najua hukunipenda ulipenda wale
Mapenzi huwa siri
Ya wapenzi wawili
Some things were never meant for everybody
Umenikosea (Aaahhh)
Kisha ukaenda ukapotea (Aahh)
I still keep you in my prayers (Aaahhh)
Nishakusamehea (Aahh)
Umenikosea (Aaahhh)
Kisha ukaenda ukapotea (Aahh)
I still keep you in my prayers (Aaahhh)
Nishakusamehea (Aahh)
Mapenzi ugonjwa hatari (Uuuh)
Zaidi ya upepo mkali (Uuuh)
Nashindwa tafakari
Vipi uliniacha ndani
Wari mkhana wanje
Utanikumbuka one day
There's nothing more I can say
It's ok
Wacha nisimp initoke
Maybe I'll be okay
Hata kama ulienda lote
Wacha nisimp initoke
Maybe I'll be okay
Hata kama ulienda lote
Said that you were feeling
Some type of feeling
Najua hukunipenda ulipenda wale
Mapenzi huwa siri
Ya wapenzi wawili
Some things were never meant for everybody
Umenikosea (Aaahhh)
Kisha ukaenda ukapotea (Aahh)
I still keep you in my prayers (Aaahhh)
Nishakusamehea (Aahh)
Umenikosea (Aaahhh)
Kisha ukaenda ukapotea (Aahh)
I still keep you in my prayers (Aaahhh)
Nishakusamehea (Aahh)
Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana yeah
Nanana Nana Nana



Autor(en): Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama



Attention! Feel free to leave feedback.
//}