Songtexte KIPENDA ROHO - H_art the Band
Kipenda
roho
roho
roho
roho
Kipenda
roho
roho
mmmh
Yeah
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
(Mbona
umependa
roho
yangu)
Nilikua
solo
ila
sasa
we'
ni
wangu
(Siamini
kwamba
wewe
wangu)
Changu
ni
chako
na
chako
changu
(Changu
chako
na
chako
changu)
Oh
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
Vile
jua
huchomoza
na
kutua
Malaika
unapendeza
zaidi
ya
ua
Moyo
umechagua
ukachukua
Hawanijua
vile
unavyonijua
Palipo
penzi
hapakosi
adui
Wakuchekesha
nje
kumbe
ndani
ni
chui
Palipo
wengi
wale
wabishi
Ulinienzi
ukanichagua
mimi
ooooh
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
(Mbona
umependa
roho
yangu)
Nilikua
solo
ila
sasa
we'
ni
wangu
(Siamini
kwamba
wewe
wangu)
Changu
ni
chako
na
chako
changu
(Changu
chako
na
chako
changu)
Oh
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
Ehhh
Mimi
na
wewe
mimi
na
we
Mpaka
milele
milele
Na
tuendelee
tupendane
Mpaka
washangae
washangae
Wacha
nikupee
Mapenzi
ujilambe
vidole
eeeh
Juu
ni
mi
na
wewe
Tuwache
mapenzi
yatawale
ooooh
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
(Mbona
umependa
roho
yangu)
Nilikua
solo
ila
sasa
we'
ni
wangu
(Siamini
kwamba
wewe
wangu)
Changu
ni
chako
na
chako
changu
(Changu
chako
na
chako
changu)
Oh
Kipenda
roho
mbona
umependa
roho
yangu
ooooh
Kipenda
roho
roho
Kipenda
roho
una
roho
ya
goro
Kipenda
roho
roho
Kipenda
roho
we
kipenzi
cha
ngoro

1 NEVER SEEN
2 TIME
3 HABIBTY (feat. PHYL THE KANGOGO)
4 MADA DADA
5 KIPENDA ROHO
6 W.Y.L.M
7 UMENIKOSEA
8 WAENDA
9 BARUA
10 KARMA
11 MBIO (feat. Eric Wainaina)
Attention! Feel free to leave feedback.