Linah - Tuliza Boli Songtexte

Songtexte Tuliza Boli - Linah




We hupagawi na sura, shepu sio vilivyo kuvutia
Ujanja wa Sungura, eti ndio kwako nukatulia.
Tena maneno hayatoshi kunieleza haitokuwa sawa
Kwangu ulipiga goti, maneno kunichombeza Sumu iwe dawa.
Nami kwako nimezama sikuelea sitokupa madhira
Hata wakisema sitaelewa sisikii tantarira.
Ila nawe



Autor(en): Linah



Attention! Feel free to leave feedback.