Melody - Mama Songtexte

Songtexte Mama - Melody




Ololololooo
Ololololooo
Oiyee iyeeeeee
(Dully bizzy touch)
Sasa basiii,siwezi tenaaa
Nishakuwa zoba maji kujaa maji kutookaa.
Akili imesinyaaa,Sina pakwendaa
Ni sawa na mshumaa umekumbwa na upepo na ghafla ukaziimaa
Nilipata peesa nikatumia nikasahau nyumbaanii
Na marafiki wakatanua,sasa kiko waapi ×2
Kukicha ni nyodo ni nyodo ni nyodo
Nakesha na Gongo na gongo na gongo
Maji ya shingo ya shingo ya shingo nishachoka oohh!!!
Nakesha kwa lindo kwa lindo kwa lindoo
Mimacho ni kodo ni kodo ni kodo
Mimaji ya shingo ya shingo ya shingo unisameeh mamaaa eeehh!!!
{{Chorus}}
Nisameeh mama(Unisameeh nimekosaaa)
Nisameeh mama(Ila sio sili me nakondaa)
Nisameeh mama(Sili silali nakupeendaa)
Nisameeh mama(Ila sio sili nimekosaa))
BEAT.
Nimekuwa soo mtaani sina pakweenda mm
Aibu ni nyingi machoni
Sasa nifaanye nn×2
Moyo najikaaza najipa matumainii nisiliee
Kutwa nalalaama,Usiku kuchaa,Mama unisameeh
Eti naye KOVU,Ananitenga hanitakiii
Mke nay pia,Ilipoisha pesa naye akanicheat
Masikaniii wananitenga hawanitaaki
Eeh mola wangu,furaha yangu umeiweka wapi
Kukicha ni nyodo ni nyodo ni nyodo
Nakesha na gongo na gongo na gongo
Maji ya shingo ya shingo ya shingo
Nimechoka oohh!!!
Nakesha na gongo na gongo na gongoo mimacho ni kodo ni kodo
Ni kodo maji ya shingo ya shingo ya shingo unisameeh mama eeh
Nisameeh mama(nisameh nimechokaa)
Nisamehe mama (ila sio siri me nakondaa)
Nisameehe mama(Sili silali,Nakupeenda)
Nisamehe mama (ila sio sili me nakondaa)
Nisameehe mamaa...
Nisamehe mama...
BEAT



Autor(en): Stephen Marley



Attention! Feel free to leave feedback.